Desemba: Kwa Huduma ya Usambazaji wa Imani

Tuwaombee watu wanaojishughulisha na huduma ya usambazaji wa imani, ili katika majadiliano yao na utamaduni, waweze kupata lugha inayoendana na hali ya sasa, katika majadiliano yao na mioyo ya watu, na zaidi ya yote, wasikilize zaidi.

Pope Francis – December 2018

Kama unataka kuishirikisha imani yako kwa neno, ni lazima usikilize zaidi na usikilize kwa makini.
Tuige mtindo wa Yesu, ambaye alijibadilisha kulingana na watu aliyokuwa akiwahudumia ili kuwafikishia upendo wa Mungu.
Tuwaombee watu wanaojishughulisha na huduma ya usambazaji wa imani, ili katika majadiliano yao na utamaduni, waweze kupata lugha inayoendana na hali ya sasa, katika majadiliano yao na mioyo ya watu, na zaidi ya yote, wasikilize zaidi.

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaing title:

The Pope Video – December 2018: In the service of the transmission of faith.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Centro Televisivo Vaticano

Production house:

AdHoc Producciones

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

adminDesemba: Kwa Huduma ya Usambazaji wa Imani