APRILI: Ukombozi kutoka ulevini

Tunaomba kwamba wale wanaoteseka na ulevi waweza kusaidiwa na kuelekezwa kikamilifu.

Pope Francis – April 2020

Kwa hakika, umesikia kuhusu drama ya ulevi.
Na … vilevile umeshafikiria kuhusu ulevi wa kucheza kamari, ulevi wa picha zenye kutia ashiki au picha za ngono, ulevi wa mtandao na hatari zitokanazo na mawasiliano ya intaneti (mtandao).
Tukisaidiwa na “Injili ya Huruma” tunaweza kupunguza, kutunza na kuponya mateso yanayoambatana na aina mpya za ulevi.
Tunaomba kwamba wale wanaoteseka na ulevi waweza kusaidiwa na kuelekezwa kikamilifu.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – April 2020: Liberation from addictions

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

Benefactors

adminAPRILI: Ukombozi kutoka ulevini