MACHI: Wakatoliki Nchini China

Tuombe pamoja ili Kanisa Nchini China liweze kustahimili katika uaminifu wake katika Injili na kukua katika umoja.

Pope Francis – March 2020

Leo Kanisa nchini China, linaangalia siku zijazo kwa matumaini.
Kanisa linataka Wakristo Wachina kuwa Wakristo wa kweli na raia wema.
Ni lazima waitangaze Injili, lakini bila ya kujihusisha katika kuwashawishi watu kubadili dini, na wanahitaji kufanikisha umoja katika jumuiya za Kikatoliki zilizogawanyika.
Tuombe pamoja ili Kanisa Nchini China liweze kustahimili katika uaminifu wake katika Injili na kukua katika umoja.
Ahsante.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – March 2020: Catholics in China

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

Benefactors

adminMACHI: Wakatoliki Nchini China