Tunaomba ili kilio cha kaka na dada zetu wahamiaji, wahanga wa magendo na uhalifu wa biashara ya binadamu, kiweze kusikika na kuangaliwa.
Pope Francis – February 2020
Wahamiaji mara nyingi ni wahanga wa biashara haramu binadamu.
Kati ya sababu nyingi, hii inatokea kwa sababu ya utoaji rushwa upande wa watu ambao wapo tayari kufanya kitu chochote kwa madhumuni ya kujipatia fedha.
Fedha zinazotokana na biashara chafu na ya udanganyifu ni fedha ya usaliti. Sitii chumvi: ni fedha ya usaliti.
Tunaomba ili kilio cha kaka na dada zetu wahamiaji, wahanga wa magendo na uhalifu wa biashara ya binadamu, kiweze kusikika na kuangaliwa.