FEBRUARI | Kwa parokia

Tuombe kwamba parokia, ziweke komunyo -ushirikiano wa watu, ushirika wa kikanisa –kipaumbele, ziweze kuzidi kuwa jumuiya za imani, za undugu na za kukaribisha wenye uhitaji mkubwa.

Baba Mtakatifu – Februari 2023

Wakati mwingine Mimi hufikiri kwamba tunapaswa kuweka alama kwenye mlango wa parokia inayosema, “Kiingilio bure.”
Parokia zinapaswa kuwa jumuiya zinazounganishwa kwa karibu, bila urasimu, zinazojikita kwa watu- mahali ambapo zawadi ya masakramenti yanapatikana.
Ni lazima ziwe tena shule za huduma na ukarimu, na milango yao wazi kila mara kwa wale ambao wametengwa. Na kwa wale wamejumuishwa. Kwa wote.
Parokia sio kilabu ya wachache, ambayo hutoa aina fulani ya mali ya kijamii.
Tafadhali, tuwe na ujasiri.
Hebu sote tufikirie upya mtindo wa jumuiya zetu parokiani.
Tuombe kwamba parokia, ziweke komunyo -ushirikiano wa watu, ushirika wa kikanisa –kipaumbele, ziweze kuzidi kuwa jumuiya za imani, za undugu na za kukaribisha wenye uhitaji mkubwa.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – February 2023: For parishes

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

Benefactors

Media partners:

Aleteia

Thanks to:

National offices of the Pope’s Worldwide Prayer Network and its youth branch EYM in Guatemala, Ivory Coast, Mexico, Argentina-Uruguay, Paraguay, Luxemburg, India, Spain, United States
Monasterio Benedictino Olivetano y Red Juvenil Ignaciana Guatemala, Jesuitas Centroamerica
Saint Jean Marie Vianney de Vridi Cité dans le diocèse de Grand Bassam en Côte d’Ivoire
Parroquia del Sagrado Corazón de Jesús en Chihuahua
Área de Comunicación de la Provincia Mexicana de la Compañía de Jesús
Iglesia de San Ignacio de Loyola en la Ciudad de México
Parroquia San Ignacio de Loyola de Montevideo- Uruguay y de la Parroquia Fatima de El Cerro- Uruguay
Archdiocese of Luxembourg
Office of the Provincial of South Asia, Jesuit Residence, New Delhi, India
Parroquia de San Francisco Javier en Cerocahui
Iglesia Archidiocesana de Barcelona
The Pontifical Mission Societies in the US

With the Society of Jesus

Parishes, Parishes open to everyone, Schools of service, Community, Communities, Parish community, What should parishes be like?, Sacraments.

adminFEBRUARI | Kwa parokia