JANUARI | Kwa Waalimu

Tuombe ili waalimu wawe mashahidi kweli wa kuaminika, wanaofundisha undugu kuliko ushindani, na juu ya yote, kuwasaidia haswa vijana walio hatarini zaidi.

Baba Mtakatifu – Januari 2023

Ningependa kupendekeza kwamba waalimu waongeze maudhui mapya kwenye mafundisho yao: undugu.
Elimu ni tendo la upendo ambalo hutuangazia njia ya kurejesha hali ya undugu, kwa hivyo haitawapuuza wale walio katika mazingira hatarishi zaidi.
Waalimu ni mashahidi ambao sio tu hutoa maarifa yao ya kiakili, lakini pia imani zao, kujitolea kwao kwa maisha.
Wanajua jinsi ya kushughulikia lugha tatu vizuri: ile ya kichwa, ya moyo, na hiyo ya mikono, yote kwa maelewano. Kwa kufanya hivyo, furaha katika kuwasiliana.
Na watazingatiwa kwa uangalifu zaidi na watakuwa wajenzi wa jamii.
Kwa nini? Kwa sababu wanapanda ushuhuda huu.
Tuombe ili waalimu wawe mashahidi kweli wa kuaminika, wanaofundisha undugu kuliko ushindani, na juu ya yote, kuwasaidia haswa vijana walio hatarini zaidi.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – January 2023: For educators

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

Benefactors

adminJANUARI | Kwa Waalimu