DESEMBA | Kwa Mashirika ya Kujitolea Yasiyo ya Faida

Let us pray that volunteer non-profit and human development organizations may find people willing to commit themselves to the common good and ceaselessly seek out new paths of international cooperation.

Baba Mtakatifu – Desemba 2022

Ulimwengu unahitaji watu wa kujitolea na mashirika ya kujitolea na kutafuta kwa ajili ya manufaa ya wote.
Ndiyo, hili ni neno ambalo wengi wangependelea kufuta: “kujituma.”
Na ulimwengu unahitaji watu wa kujitolea na wanaojitolea kwa manufaa ya wote.
Kuwa mtu wa kujitolea, anayesaidia wengine ni chaguo linalotufanya tuwe huru; linatufungua kwa wengine mahitaji ya watu—madai ya haki, kuwatetea wanyonge, kwa kutunza uumbaji.
Inamaanisha kuwa mafundi wa huruma: kwa mikono yetu, kwa macho yetu, kwa sikio sikivu, na kwa ukaribu wetu.
Kuwa mtu wa kujitolea kunamaanisha kufanya kazi pamoja na watu unaowahudumia. Sio tu kwa watu, bali pamoja na watu. Kufanya kazi pamoja na watu.
Kazi ya mashirika ya kujitolea yasiyo ya faida huwa na ufanisi zaidi pale wanaposhirikiana na kila mmoja na serikali pia.
Kwa kufanya kazi pamoja, ingawa rasilimali chache, wanafanya kwa ubora na kutengeneza muujiza wa kuzidisha uhalisia wa matumaini.
Tuna haja kubwa ya kuzidisha matumaini!
Tuombe ili mashirika ya kujitolea yasiyo ya faida na maendeleo ya binadamu katika mashirika yaweze kupata watu walio tayari kujitolea kwa manufaa ya wote na kutafuta njia mpya za ushirikiano wa kimataifa bila kukoma.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – December 2022: For volunteer not-for-profit organizations

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

Gaia Valeria Rosa, Diego Angeli and Andrea Schneider Graziosi

Benefactors

Media partners:

Aleteia

Thanks to:

MEDICI CON L’AFRICA, CUAMM
FONDAZIONE AVSI
CARITAS INTERNATIONALIS
LVIA
FOCSIV Volontari ne mondo
CASA DO MENOR
ASSOCIAZIONE COMUNITÀ PAPA GIOVANNI XXIII
FEDERICA MIGLIO

With the Society of Jesus

adminDESEMBA | Kwa Mashirika ya Kujitolea Yasiyo ya Faida