JUNI: Huruma kwa ulimwengu

Tunaomba ili wale wote wanaoteseka waweze kupata mbinu katika maisha, wakubali kuguswa na Moyo wa Yesu.

Pope Francis – June 2020

Watu wengi wanateseka kutokana na matatizo makubwa wanayoyavumilia.
Tunaweza kuwasaida kwa kuambatana pamoja nao kwenye shajara ya safari yenye wingi wa huruma.
Inawaleta karibu kwenye Moyo wa Kristo, ambao hutukaribisha sisi sote kwenye mapinduzi ya wema.
Tunaomba ili wale wote wanaoteseka waweze kupata mbinu katika maisha, wakubali kuguswa na Moyo wa Yesu.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – June 2020: Compassion for the world

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

Benefactors

adminJUNI: Huruma kwa ulimwengu