JULAI: Familia zetu

Tuombe ili familia za sasa ili ziweze kuambatana na upendo, heshima na mwongozo, na hasa ziweze kulindwa na serikali.

Pope Francis – July 2020

Familia ni lazima ilindwe.
Inakabiliwa na hatari nyingi sana: Kasi ya maisha. Msongo…
Wakati mwingine, wazazi wanasahau kujifurahisha na watoto wao.
Kanisa linahitaji kuzitia moyo familia na kubaki upande wao. Kuzisaidia kugundua njia nyingine kukabiliana na matatizo yote haya.
Tuombe ili familia za sasa ili ziweze kuambatana na upendo, heshima na mwongozo, na hasa ziweze kulindwa na serikali.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – July 2020: Our families

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

adminJULAI: Familia zetu