AGOSTI: Dunia ya bahari

Tuwaombee wale wote wanaofanyakazi baharini na ambao maisha yao yanategemea bahari, miongoni mwao ni mabaharia, wavuvi na familia zao.

Pope Francis – August 2020

Maisha ya mabaharia au wavuvi na familia zao ni magumu.
Wakati mwingine wanakuwa wahanga wa kazi za shuruti au wanaachwa nyuma kwenye bandari za mbali.
Mashindano ya biashara ya uvuvi na tatizo la uchafuzi wa mazingira unaifanya kazi yao (mabaharia na wavuvi) kuwa ngumu zaidi.
Bila ya watu wa baharini sehemu kubwa duniani ingeangamia kwa njaa.
Tuwaombee wale wote wanaofanyakazi baharini na ambao maisha yao yanategemea bahari, miongoni mwao ni mabaharia, wavuvi na familia zao.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – August 2020: The maritime world

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

adminAGOSTI: Dunia ya bahari