SEPTEMBA: Heshima kwa rasilimali za dunia

Tuombe ili rasilimali za sayari (dunia) zisiporwe, bali ziweze kugawanywa kwa haki na heshima. Hapana katika uporaji; ndiyo katika kugawana.

Papa Francis – Septemba 2020

Tunazikamua rasilimali za dunia. Tunazikamua kana kwamba dunia imekuwa ni chungwa.
Nchi na biashara za ulimwengu wa kaskazini zimejitajirisha kwa kunyonya mali ya asili za kusini na kutengeneza deni la kiekolojia. Nani atalilipa deni hili?
Zaidi ya hayo, deni hili la kiekolojia linaongezeka pale ambapo makampuni ya kimataifa yanafanya nje ya nchi zao kile ambacho yasingeliweza kuruhusiwa kukifanya katika nchi zao. Ni ufisadi.
Leo, siyo kesho; leo ni lazima tujali Uhulushi (Uumbaji) kikamilifu.
Tuombe ili rasilimali za sayari (dunia) zisiporwe, bali ziweze kugawanywa kwa haki na heshima.
Hapana katika uporaji; ndiyo katika kugawana.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – September 2020: Respect for the planet’s resources

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

adminSEPTEMBA: Heshima kwa rasilimali za dunia