Tuombe ili kwa nguvu ya ubatizo, walei, na hasa walei wanawake, waweze kushiriki zaidi kwenye maeneo ya uwajibikaji katika Kanisa bila kuanguka kwenye mifumo inayoegemea zaidi kwa makasisi, na ambayo inaweza kupunguza karama ya ulei.
Pope Francis – October 2020
Hakuna liyebatizwa kama padre au askofu. Wote tumebatizwa kama walei.
Walei ni wahusika wakuu wa Kanisa.
Leo ni lazima kutengeneza fursa pana kwa ajili ya uwepo wa wanawake werevu ndani ya Kanisa.
Na lazima tusisitize uwepo wa walei wa kike kwa sababu wanawake wanaelekea kutengwa.
Ni lazima tusaidie kusimamia kuwafungamanisha wanawake, hasa, maamuzi muhimu yanapofanywa.
Tuombe ili kwa nguvu ya ubatizo, walei, na hasa walei wanawake, waweze kushiriki zaidi kwenye maeneo ya uwajibikaji katika Kanisa bila kuanguka kwenye mifumo inayoegemea zaidi kwa makasisi, na ambayo inaweza kupunguza karama ya ulei.
Credits
Campaign title:
The Pope Video – October 2020: Women in leadership roles in the Church
A project by Pope’s Worldwide Prayer Network
In collaboration with Vatican Media
Creativity and co-production by:
La Machi Communication for Good Causes
Music production and mix by:
Benefactors
Benefactor:
Dicastery for Laity, Family and Life
The British Embassy to the Holy See
The Canadian Embassy to the Holy See
Callista Gingrich, USA
Elvira Velásquez, Ambassador of Peru
Grace Relucio Princesa, PH
The Australian Embassy to the Holy See
Khetevane Bagration De Moukhrani
Embassy of the Kingdom of Morocco to the Holy See
Embassy of Albania to the Holy See