NOVEMBA: Akili ya Bandia

Tuombe ili maendeleo ya kiroboti na akili za bandia yaweze kuhudumia wanadamu.

Pope Francis – November 2020

Akili bandia ipo katika kitovu cha mabadiliko ambayo tunakabiliana nacho.
Roboti inaweza kuifanya dunia kuwa bora kama itaunganishwa na mahitaji ya pamoja.
Kweli, kama teknolojia inaongeza totauti, hayo siyo maendeleo ya kweli.
Maendeleo ya siku za usoni yanatakiwa yaelekezwe katika kuheshimu utu wa mtu na Uumbaji.
Tuombe ili maendeleo ya kiroboti na akili za bandia yaweze kuhudumia wanadamu… tunaweza kusema ‘iwe binadamu.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – November 2020: Artificial Intelligence

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

La Machi Communication for Good Causes

Music production and mix by:

Índigo Music Design

adminNOVEMBA: Akili ya Bandia