Tuombe ili tuweze kupata uzoefu wa sakramenti ya upatanisho, yenye kina kipya, kuonja msamaha na huruma ya Mungu isiyo na mwisho. Na tuombe ili Mwenyezi Mungu aweze kulipatia Kanisa mapadri wenye huruma na si mapadri watesaji.
Pope Francis – Machi 2021
Ninapokwenda kuungama, ni kwa ajili ya kuponywa, kuponya roho yangu.
Kuondoka na afya kubwa zaidi ya roho. Kutoka katika taabu kwenda kwenye huruma.
Kitovu cha maungamo siyo dhambi tunazozitamka, bali ni upendo wa kimungu tunaoupokea ambao siku zote tunauhitaji.
Kitovu cha maungamo ni Yesu ambaye anatusubiri, anatusikiliza na anatusamehe.
Kumbuka hili: Kwenye moyo wa Mungu, sisi tunatangulia kabla ya makosa yetu.
Tuombe ili tuweze kupata uzoefu wa sakramenti ya upatanisho, yenye kina kipya, kuonja msamaha na huruma ya Mungu isiyo na mwisho. Na tuombe ili Mwenyezi Mungu aweze kulipatia Kanisa mapadri wenye huruma na si mapadri watesaji.
Credits
Campaign title:
The Pope Video – March 2021: The sacrament of reconciliation
A project by Pope’s Worldwide Prayer Network
In collaboration with Vatican Media
Creativity and co-production by:
Gaia Valeria Rosa, Diego Angeli and Andrea Schneider Graziosi