Tuombe roho ya majadiliano, kukutana na upatanisho ijidhihirishe Mashariki ya Kati, ambako dini za jumuiya mbalimbali zinaishi pamoja.
Pope Francis – November 2019
Mashariki ya Kati, maelewano na mazungumzo, miongoni mwa dini tatu zenye kuamini Mungu mmoja yamejengeka katika msingi wa kiroho na mapatano ya kihistoria.
Habari Njema ya Yesu, aliyefufuka kwa upendo, inakuja kwetu ikitoka katika nchi hizi.
Leo Jumuiya nyingi za Kikristo, pamoja na Jumuiya za Kiyahudi na Kiislamu, zinafanya kazi hapa kwa ajili ya amani, upatanisho na msamaha.
Tuombe roho ya majadiliano, kukutana na upatanisho ijidhihirishe Mashariki ya Kati, ambako dini za jumuiya mbalimbali zinaishi pamoja.
Credits
Pope’s Worldwide Prayer Network
Campaign title:
The Pope Video – November 2019: Dialogue and reconciliation in the Middle East.