Desemba: Maisha ya baadaye ya watoto

Tuombe ili kila nchi ichukue hatua stahiki ya kuyapa kipaumbele maisha ya baadaye ya watoto, hususani maisha ya baadaye ya watoto ambao wanateseka leo.

Pope Francis – December 2019

Kila mtoto ambaye ametengwa, ameonewa, ametelekezwa bila shule au huduma za afya ni kilio kinachopanda kwa Mungu.
Kwa kila mmoja wao ni Kristo, ambaye alikuja duniani kama mtoto asiye na ulinzi; ni Kristo anayetuangalia kupitia kwa kila macho ya watoto hawa.
Tuombe ili kila nchi ichukue hatua stahiki ya kuyapa kipaumbele maisha ya baadaye ya watoto, hususani maisha ya baadaye ya watoto ambao wanateseka sasa.

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaign title:

The Pope Video – December 2019: The future of the very young.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Vatican Media

Production house:

Adhoc

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

Benefactors

Benefactors:

Índigo Music Design

In collaboration with:

Vatican Media

Media partners:

Aleteia

Thanks to:

Doppler Email Marketing

With the Society of Jesus

adminDesemba: Maisha ya baadaye ya watoto