APRILI | Kwa nafasi ya wanawake

Tuombe kwamba utu na thamani ya mwanamke itambulike katika kila tamaduni, na kukomesha ubaguzi wanaokumbana nao sehemu mbalimbali za dunia.

Baba Mtakatifu – APRILI 2024

Kwa sehemu nyingi za ulimwengu, wanawake wanachukuliwa kuwa kitu cha kwanza cha kuondolewa.
Kuna nchi ambazo wanawake wamekatazwa kupata misaada, kufungua biashara, au kwenda shule. Katika maeneo haya, wako chini ya sheria zinazowafanya wavae kwa njia fulani. Na katika nchi nyingi, ukeketaji bado unafanywa.
Tusiwanyime wanawake sauti zao. Tusiwanyang’anye wanawake hawa wote walionyanyaswa sauti zao. Wananyonywa, wanatengwa.
Kwa nadharia, sote tunakubali kwamba wanaume na wanawake wana hadhi sawa ya utu wa bianadamu. Lakini hii haifanyiki kwa matendo.
Serikali zinahitaji kujitolea kuondoa sheria za kibaguzi kila mahali na kufanya kazi ili kuhakikisha haki za utu wa wanawake.
Tuwaheshimu wanawake. Tuheshimu utu wao, haki zao za msingi. Na tusipofanya hivyo, jamii yetu haitaendelea.
Tuombe kwamba utu na thamani ya mwanamke itambulike katika kila tamaduni, na kukomesha ubaguzi wanaokumbana nao sehemu mbalimbali za dunia.

Credits

Campaign title:

The Pope Video – APRIL | For the role of women

A project by Pope’s Worldwide Prayer Network

In collaboration with Vatican Media

Creativity and co-production by:

Benefactors

Thanks to:

AMNESTY INTERNATIONAL
ROBIN HAMMOND
LISA KRISTINE
Suore Missionarie Comboniane Repubblica Centrafricana – Soeurs Missionnaires Comboniennes
République Centrafricaine
AVSI People for development
Associazione Comunità PAPA GIOVANNI XXIII
IDLO / LANE PRODUCTION

With the Society of Jesus

Women, Role of Women, Equal Rights, Human Rights, The Pope Video, Prayer Intention, Click To Pray, We Pray Together

fiorellaAPRILI | Kwa nafasi ya wanawake