February: Biashara Haramu ya Binadamu

Tuombe mapokezi mazuri kwa wahanga wa biashara haramu ya binadamu, ya
wahanga wa ukahaba wa kulazimishwa na ya wahanga wa vurugu.

Pope Francis – February 2019

Ingawa tunajaribu kupuuza, utumwa si kitu cha wakati uliopita.
Tukiwa tunakabiliwa na uhalisia wa janga hili, hakuna anayeweza kujitoa bila kuwa mshiriki katika uhalifu huu dhidi ya ubinadamu.
Hatuwezi kupuuza ukweli kwamba kuna utumwa zaidi sasa hivi duniani kuliko ilivyokuwa awali au pengine upo zaidi ya ilivyokuwa awali.
Tuombe mapokezi mazuri kwa wahanga wa biashara haramu ya binadamu, ya wahanga wa ukahaba wa kulazimishwa na ya wahanga wa vurugu.

adminFebruary: Biashara Haramu ya Binadamu