Kuandamana: Utambuzi wa Haki za Jumuiya za Kikristo

Tuziombee jumuiya za Kikristo hasa zile zinazoteseka ili zijisikie kuwa zipo karibu na Kristo na haki zao zinaheshimika.

Pope Francis – March 2019

Inaweza kuwa ni vigumu kwetu kuamini, lakini kuna wafiadini wengi zaidi sasa kuliko ilivyokuwa katika karne ya kwanza.
Wanateswa kwa sababu wanaongea ukweli na wanamtangaza Yesu Kristo kwenye jamii.
Hii inatokea zaidi sehemu ambazo uhuru wa dini haujathibitishwa.
Pia, hutokea katika nchi ambazo kinadharia na kimaandishi zinalinda uhuru na haki za binadamu.
Tuziombee jumuiya za Kikristo hasa zile zinazoteseka ili zijisikie kuwa zipo karibu na Kristo na haki zao zinaheshimika.

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaign title:

The Pope Video – March 2019: Recognition of the Right of Christian Communities.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Centro Televisivo Vaticano

Production house:

Adhoc

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

adminKuandamana: Utambuzi wa Haki za Jumuiya za Kikristo