Aprili: Madaktari na Washiriki wenzao wenye hisani kwenye maeneo ya vita

Tuwaombee madaktari na washiriki wenzao wenye hisani wanaofanya kazi katika maeneo yaliyovurugwa na vita, na ambao wanahatarisha maisha yao ili kuokoa maisha ya watu wengine.

Pope Francis – April 2019

Uwepo wa madaktari, wauguzi ni wafanyakazi wengine wanaojihusisha na afya katika maeneo yaliyovurugwa na vita ni ishara ya matumaini.
Madaktari, wauguzi na wafanyakazi ni wengine wanaojihusisha na afya ni watu wenye hekima majasiri na wapole, ambao hufuata wito wao kwa kufanya kazi kwenye mazingira hatari.
Tuwaombee madaktari na washiriki wenzao wenye hisani wanaofanya kazi katika maeneo yaliyovurugwa na vita, na ambao wanahatarisha maisha yao ili kuokoa maisha ya watu wengine.

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaign title:

The Pope Video – April 2019: Doctors and their Collaborators in War-Torn Areas.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Centro Televisivo Vaticano

Production house:

Adhoc

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

adminAprili: Madaktari na Washiriki wenzao wenye hisani kwenye maeneo ya vita