January: Vijana na Mfano wa Mama Maria

Tuombe ili vijana, hasa wa Amerika ya Kusini, waweze kufuata mfano wa Mama Maria kuitikia mwito wa Kristo wa kusambaza furaha ya Injili duniani.

Pope Francis – January 2019

Ninyi vijana, kwa Mama Bikira Maria, mna sababu ya furaha na chanzo cha msukumo.
Itumieni Siku ya Vijana Duniani, itakayofanyika Panama, kumtafakari Kristo pamoja na Mama Maria. Tutasali Rosari ya amani kwa pamoja, kila mmoja wetu atasali kwa lugha yake.
Ombeni nguvu za kuwaza na kufanya kazi kwa ajili ya amani.
Tuombe ili vijana, hasa wa Amerika ya Kusini, waweze kufuata mfano wa Mama Maria kuitikia mwito wa Kristo wa kusambaza furaha ya Injili duniani.

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaing title:

The Pope Video – January 2019: Young People and the Example of Mary.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Centro Televisivo Vaticano

Production house:

AdHoc Producciones

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

adminJanuary: Vijana na Mfano wa Mama Maria