Agosti: Familia, Shule za Maendeleo ya Binadamu

Tuziombee familia kupitia maisha yao ya sala na upendo, ili daima na kwa dhahiri, ziwe shule halisi za “maendeleo ya binadamu.”

Pope Francis – August 2019

Ni aina gani ya dunia tunayotaka kuiacha kwa siku za usoni?
Tuiache dunia na familia.
Tuzijali familia, kwa sababu ni shule halisi kwa siku za usoni, nafasi ya uhuru, na kitovu cha ubinadamu.
Tutenge nafasi ya pekee kwenye familia zetu kwa ajili ya sala binafsi na za jumuiya.
Tuziombee familia kupitia maisha yao ya sala na upendo, ili daima na kwa dhahiri, ziwe shule halisi za “maendeleo ya binadamu.”

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaign title:

The Pope Video – August 2019: Families, Schools of Human Development.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Centro Televisivo Vaticano

Production house:

Adhoc

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

Benefactors

adminAgosti: Familia, Shule za Maendeleo ya Binadamu