Julai: Ukamilifu wa Haki

Tuombe ili wale wanaosimamia haki waweze kufanya kazi kwa uadilifu na kwamba udhalimu ambao umeenea duniani usiwe na kauli ya mwisho.

Pope Francis – Julai 2019

Uamuzi unaofanywa na mahakimu unaathiri haki na rasilimali za raia.
Uhuru wao lazima uwalinde na upendeleo na shinikizo mambo ambayo yanaweza yakachafua maamuzi watakayoyafanya.
Mahakimu ni lazima waufuate mfano wa Yesu, ambaye hakuwahi kuujadili ukweli.
Tuombe ili wale wanaosimamia haki waweze kufanya kazi kwa uadilifu na kwamba udhalimu ambao umeenea duniani usiwe na kauli ya mwisho.

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaign title:

The Pope Video – July 2019: Integrity of Justice.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Centro Televisivo Vaticano

Production house:

Adhoc

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

adminJulai: Ukamilifu wa Haki