Juni: Aina ya maisha ya mapadre

Tuombe ili Mapadre kupitia unyenyekevu wa maisha yao wakubali wajibu wa kuwa na mshikamano, na zaidi ya yote, na wale walio masikini kabisa.

Pope Francis – June 2019

Napenda kuwaomba kuwaangalia Mapadre ambao wanafanya kazi katika jumuiya zenu.
Mapadre hawajakamilika, lakini wengi wao wanajitoa mpaka mwisho kwa unyenyekevu na furaha.
Ni mapadre ambao wapo karibu na watu na wapo tayari kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kila mmoja.
Tunawashukuru kwa mfano wao na ushuhuda wao.
Tuombe ili Mapadre kupitia unyenyekevu wa maisha yao wakubali wajibu wa kuwa na mshikamano, na zaidi ya yote, na wale walio masikini kabisa.

Credits

Pope’s Worldwide Prayer Network

Campaign title:

The Pope Video – June 2019: The Priests’ Way of Life.

Idea and project coordination:

La Machi

Creative agency:

La Machi

Pope Francis shooting:

Centro Televisivo Vaticano

Production house:

Adhoc

Sound mixing & music:

Índigo Music Design

Benefactors

adminJuni: Aina ya maisha ya mapadre