Mwezi huu, tuombe ili Kanisa la Afrika kupitia ahadi za wanajumuiya wake,liwe ni mbegu ya umoja miongoni mwa watu wake na alama ya matumaini kwa bara hili.
Pope Francis – Mei 2019
Migawanyiko ya lugha za makabila na migawanyiko ya makabila Afrika inaweza kudhoofishwa kwa kukuza umoja ndani ya tofauti walizonazo.
Nataka kuwashukuru masista watawa, mapadri, walei na wamisionari kwa kuanzisha majadiliano na suluhu miongoni mwa sekta mbalimbali za jamii ya kiafrika.
Mwezi huu, tuombe ili Kanisa la Afrika kupitia ahadi za wanajumuiya wake,liwe ni mbegu ya umoja miongoni mwa watu wake na alama ya matumaini kwa bara hili.
Credits
Pope’s Worldwide Prayer Network
Campaign title:
The Pope Video – May 2019: The Church in Africa, a Seed of Unity.
Idea and project coordination:
Creative agency:
Pope Francis shooting:
Production house:
Sound mixing & music:
Benefactors
Benefactors:
In collaboration with:
Media partners:
Getty Images Latam
Aleteia
Ecclesia TV
Thanks to:
Core Values
Doppler Email Marketing
Abobo Parish, Côte d’Ivoire
Fr Apollinaire SJ
Xavières Sisters
Aid to the Church in Need