MEI | Kwa mazingira ya kazi
MEI | Kwa mazingira ya kazi

Tuombe ili kwamba, kupitia kazi, kila mtu apate utoshelevu, familia zidumu katika heshima kiutu, na jamii ziwe za kibinadamu zaidi.

Thank you, Francis

Every month, you have invited us to pray with you for the challenges of humanity and the mission of the Church, teaching us to learn compassion for others from the heart of Christ. Thank you, Francis, for your life and your witness.

SW - Youtube Thumbnail TPV 4 2025 - Kwa matumizi ya teknolojia mpya

APRILI | Kwa matumizi ya teknolojia mpya

Tusali ili matumizi ya teknolojia mpya yasichukue nafasi ya uhusiano wa kibinadamu, yaheshimu utu wa binadamu na kutusaidia kukabili matatizo ya nyakati zetu.

MACHI | Kwa ajili ya familia zenye migogoro

MACHI | Kwa ajili ya familia zenye migogoro

Tusali ili familia zenye mipasuko zipate tiba ya majeraha yao kupitia msamaha, na zione upya karama za kila mmoja, hata katika utofauti wa kila mtu.

TOTAL VIEWS

+ 247M

only in Vatican Networks

VIEWS 2025

+ 6M

PRESS ARTICLES

+ 30K

in 114 countries

Help spread the Pope’s Prayer Intentions today!

Nacho JimenezVideo ya Papa