SW - Youtube Thumbnail TPV 7 2025 - Kwa ajili ya usaidizi wa kufanya maamuzi sahihi
JULAI | Kwa ajili ya usaidizi wa kufanya maamuzi sahihi

Tsali ili tuweze kujifunza jinsi ya kufanya maamuzi, kuchagua njia za uzima na kukataa kila kinachotutenganisha na Kristo na Injili.u

SW - Youtube Thumbnail TPV 6 2025 - Ili huruma iongezeke ulimwenguni

JUNI | Ili huruma iongezeke ulimwenguni

Tusali ili kwamba kila mmoja wetu apate faraja katika uhusiano binafsi na Yesu, na kutoka katika Moyo wake Mtakatifu, ajifunze kuuhurumia ulimwengu.

MEI | Kwa mazingira ya kazi

MEI | Kwa mazingira ya kazi

Tuombe ili kwamba, kupitia kazi, kila mtu apate utoshelevu, familia zidumu katika heshima kiutu, na jamii ziwe za kibinadamu zaidi.

Thank you, Francis

Every month, you have invited us to pray with you for the challenges of humanity and the mission of the Church, teaching us to learn compassion for others from the heart of Christ. Thank you, Francis, for your life and your witness.

TOTAL VIEWS

+ 249M

only in Vatican Networks

VIEWS 2025

+ 8M

PRESS ARTICLES

+ 30K

in 114 countries

Help spread the Pope’s Prayer Intentions today!

Nacho JimenezVideo ya Papa