Imagen destacada del Video del Papa Noviembre 2025
NOVEMBA | Kwa ajili ya kuepusha watu kujiua

Tuwaombee wale wanaopambana na fikira za kujiua waweze kupata msaada, huduma na upendo wanaohitani katika jamii zao, na waone uzuri wa maisha.

Image for the Pope's video of October

OKTOBA | Kwa ajili ya ushirikiano kati ya dini mbalimbali

Tuombe ili waamini wa dini mbalimbali waweze kushirikiana katika kutunza na kuendeleza amani, haki na udugu wa kibinadamu

Picha iliyoangaziwa kutoka kwa Video mpya ya Papa ya Septemba 2025

SEPTEMBA | Kwa ajili ya uhusiano wetu na viumbe vingine vyote

Tusali ili, kwa kuhamasishwa na Mtakatifu Fransisko, tuwe na utambuzi wa mahusiano yetu na viumbe vyote vinavyopendwa na Mungu na vinavyostahili heshima na upendo.

SW - Youtube Thumbnail TPV 8 2025 - Kwa ajili ya kuendeleza maisha ya pamoja

AGOSTI | Kwa ajili ya kuendeleza maisha ya pamoja

Tusali kuziombea jamii ambazo zinakabiliwa zaidi na ugumu wa kuishi pamoja, kwamba zisiangushwe na kutokomezwa na vishawishi vya ukabila, udini au tofauti za kisiasa na kiitikadi.

TOTAL VIEWS

+ 253M

only in Vatican Networks

VIEWS 2025

+ 13M

PRESS ARTICLES

+ 31K

in 114 countries

Help spread the Pope’s Prayer Intentions today!

Nacho JimenezVideo ya Papa